Monday 30 April 2018

J cole kukimbizana na Drake,Kendrick Lamar katika kutoa albam bora



Mwanamuziki  kutoka nchini Marekani J. Cole aweka rekodi mpya kupitia kwenye Album yake mpya, "KOD" ambayo sasa imeingia kwenye list ya album 3 bora zilizo sikilizwa zaidi kwenye mitandao (Streaming Services) kwa wiki moja nchini Marekani. Album hiyo imesikilizwa mara Milioni 322.7
 

1 Drake - More Life (384.8 Million)
2 Kendrick Lamar - DAMN. (340.6 Million)
3.J. Cole - KOD (322.7 Million)


KOD albamu inayozidi kushika kasi zaidi katika chati za Billboard ni wiki tu toka itoke na imewezankushika nafasi za juu.

0 comments:

Post a Comment