Thursday 17 May 2018

'I hate you' ujumbe uliotumwa na Drake kwa J Cole



Jcole aelezea namna albamu yake ya 'KOD' ilivyomfanya Msanii mwenzake Drake kuchukia na kumtumia text aliyoiandika "I hate you" baada ya kuishusha albamu yake ya "Gods Plan" kupitia mtandao wa Spotify.

 Akizungumza na redio ya Hot Freestyle Mwanamuziki huyo alieleza namna alivykuwa amashtushwa na meseji ambayo alikuwa ametumiwa na Drake

Drake ambaye kwasasa anaugulia maumivu baada ya nyimbo yake kushushwa na Chaldish Gambino katika  chati za Billboard


0 comments:

Post a Comment