Tuesday 15 May 2018

Infinity War yaingia tano bora filamu zinzoingiza fedha nyingi



Filamu ya Infinity War imeingia katika nafasi ya tano kwa filamu zinazojipatia kiwango kikubwa cha fedha ndani ya wiki mbili.

Kutokana  na kampuni Marvels kufanya vizuri mwanzoni mwa mwaka huu kupitia filamu ya Black Panther ambayo nayo ni miongoni mwa filamu zilizovunja rekodi.
 

 Infinity War imeingiza $1.606 Billion ikiwa na jumla ya filamu nne tu, Jurastic World yenye $1.671 Billion, Star Wars, Force Awakens yenye $2.068 Billion, Titanic yenye $2.187 Billion na filamu namba moja Avater iliyoingiza $2.788 Billion

0 comments:

Post a Comment