Friday 18 May 2018

Kevin Gates arudi kwa kishindo



NA RAYMOND CARSON

Kevin Gates amerudi kwenye game na kuachia track mpya "Changes Lanes" ambayo iko nnje ya EP yake mpya "Chained To The City".

Hii ni nyimbo ya kwanza kwa Kevin Gates toka alipoachiwa kutoka jela wiki kadhaa zilizopita. Rapper huyo kutoka Louisiana alifahamika kuanzia mwaka 2013 kupitia mixtape ya The Luca Brasi Story, ambayo ilimletea mafanikio makubwa na kuchukuliwa na label ya Atlantic Records mwaka 2013.

Baada ya kupata shavu Atlantic Records aliachia album yake ya kwanza "Stranger Than Fiction" na kushika nafasi ya 37 Katika Billboard 200.

0 comments:

Post a Comment