Saturday 19 May 2018

Prince Harry na Meghan Markle wafanya maandalizi yao ya mwisho ya Harusi



Yakiwa yamebakia masaa kumi na nane tu Prince Harry na Meghan Markel kufunga pingu za maisha.

Wawili hao wameonekana leo wakifanya mazoezi yao ya mwisho jijini London kwaajili ya maandalizi ya Harusi yao itakayofanyika hapo kesho.

Kutokana na baba mzazi wa Meghan Markel kutohudhuria harusi hiyo Prince William baba wa Prince Harry amekubali ombi la kuchukua nafasi ya kumuongoza Meghan kanisani.

0 comments:

Post a Comment