Friday 18 May 2018

Manchester City yamuongeza mkataba kocha Pep Guardiola


Klabu ya Manchester City ya Uingereza imesaini mkataba mpya na kocha wake Pep Guardiola utakaomfanya atumikie klabu hiyo hadi mwaka 2021.

Mkataba wa awali wa kocha huyo mwenye miaka 47 sasa ulikuwa unamalizika mwishoni mwa msimu wa 2019, lakini kutokana na mafanikio yaliyopatikana klabu hiyo imeamua kuingia makubaliano ya kuongeza mkataba hadi 2021.

0 comments:

Post a Comment