Friday 18 May 2018

Drake kuimba Kihispaniola katika ngoma yake mpya



Mtu wa karibu wa Rapa  Drake , DJ Nelson akiwa katika tamasha la Red Bull Music New York amesema kuwa ameisikia kollabo mpya ya Drake na  Bad Bunny ambayo mwanzo mwisho wasanii hao wametumia lugha ya Kihispaniola.

Hayo yote yameshindwa kukataliwa na wasanii hao kutokana na mwanzoni mwa mwezi uliopita walitaangaza kutoa ngoma mpya itakayotumia lugha tofaauti na kiingeleza.

 
Miondoko ya nyimbo za Kihispaniola inaonekana kuwa mwamko mkubwa duniani kutokana na midundo yake kutumika sana katika sehemu tofauti.

0 comments:

Post a Comment