Wednesday 16 May 2018

Wanaharakati Marekani waitaka Spotify kuwafungua Eminem na Chris Brown



Kikundi cha kupigania haki za wanawake nchini Marekani kimetoa mapendekezo kwa mtandao wa Spotify kuzifuta nyimbo za Chris Brown, Nelly, Eminem na wengine kwenye mtandao wao

R.Kelly na XXXtentacion ambao walikutwa na mikasa ya kufungiwa miziki yao kutoka katika mitandao ya Spotify na Apple Music.

Kikundi cha kupigania Haki za wanawake kimetuma maombi kwenye mtandao huo wa kusikiliza muziki kuomba kuzifuta nyimbo za Chris Brown, Nelly, Eminem, 6ix9ine, the Red Hot Chili Peppers, Don Henley na Steven Tyler ambao wote wanatuhuma za kupiga kuzalilisha wanawake.
.

0 comments:

Post a Comment