Saturday 30 June 2018

Drake – Scorpion (DOWNLOAD)

ALBUM DOWNLOAD: DRAKE – SCORPION ZIP.

Drake_Scorpion_Album_Download
Rapa kutoka nchini Marekani, Drake jana ametambulisha rasmi albamu yake mpya ya #scorpion ambayo ilikuwa inasubiliwa kwa hamu na mashabiki wake.

Katika albamu hiyo msanii Drake kupitia ngoma yake ya "Emotionless" ameweza kutoka ufafanuzi juu ya taarifa zilizokuwa zikisambazwa na Pusha T katika “Story of Adidon”kuhusu kutaka kumtelekeza mtoto wake.

"I wasn't bidding mykid from the world, I was bidding the world from my Kid" ameimba Drake katika Emotionless .

Hatahivyo Drake ameweza kufanya collabo mbali mbali katika albamu hiyo ambapo amewashirikisha Jay Z katika "Talk Up", Ty Dolla $ign, Static Major, huku maswali yakiwa amewezaje kumshirikisha marehemu Michael Jackson katika " Don't Matter to me".

Vilevile katika " Talk Up" na Jay Z, Drake ameonyesha kutofurahishwa na waliotekeleza mauaji ya rapa mchanga XXXTentacion. “Y'all killed X, let Zimmerman live,” amesikika Drake katika "Talk Up".

Download ZIP: Drake – Scorpion Album.

DRAKE – SCORPION (ALBUM MP3 DOWNLOAD).

Download MP3: Drake – Nonstop

Download MP3: Drake – Elevate

Download MP3: Drake – Emotionless

Download MP3: Drake – God’s Plan

Download MP3: Drake – I’m Upset

Download MP3: Drake – 8 out of 10

Download MP3: Drake – Mob Ties

Download MP3: Drake – Can’t Take a Joke

Download MP3: Drake – Sandra’s Rose

Download MP3: Drake – Talk Up Ft. Jay Z

Download MP3: Drake – Is There More

Download MP3: Drake – Peak

Download MP3: Drake – Summer Games

Download MP3: Drake – Jaded

Download MP3: Drake – Nice For What

Download MP3: Drake – Finesse 

Download MP3: Drake – Ratchet Happy Birthday

Download MP3: Drake – That’s How You Feel

Download MP3: Drake – Blue Tint

Download MP3: Drake – In My Feelings

Download MP3: Drake – Don’t Matter To Me Ft. Micheal Jackson

Download MP3: Drake – After Dark

Download MP3: Drake – Final Fantasy

Download MP3: Drake – March 14

0 comments:

Post a Comment