Friday 29 June 2018

Migos drop new video for “Narcos” 💥 .



Kundi la Rappers kutoka Mji wa Georgia,USA maarufu kama Migos wameachia video mpya ya track ya "Narcos" kutoka kwenye album yao "Culture II" baada ya kuachia video ya "Motorsport", "Stir Fly" na "Walk It Talk It" na director wa video hii ni Quavo akisaidiwa na Joseph Desrosiers.

Wiki iliyopita Migos walitoa bonge la performance katika BET Awards na Kushinda tuzo ya kundi bora. Kundi la Migos litaungana na Drake katika Tour ya pamoja "Aubrey and the Three Amigos" kuanzia July 26 mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment