Saturday 30 June 2018

Jay ,Beyonce waingiza mkwanja mrefu kupitia ziara yao



Jay-Z na Beyonce tayari wameingiza kiasi cha $52 Milioni (sawa na zaidi ya Tsh. 118 Bilioni) kwenye ziara yao ya muziki 'On The Run II' huku mpaka sasa wakiwa wamepiga show 9 tu.

TheCarters wamepanga kupiga shows 48 kwenye miji ya bara la Ulaya na Marekani Kaskazini.

0 comments:

Post a Comment