Monday 25 June 2018

Ed Sheeran awa gumzo jukwaani aomba ruhusa kwenda chooni mara mbili mfululizo



Mkali wa muziki kutoka nchini Uingereza, Ed Sheeran amekuwa gumzo baada ya kuomba ruhusa ya kwenda haja ndogo mara mbili katika Show yake ya Devide Tour uwanja wa Cardiff.


Tatizo hilo lilimuanza akiwa anatumbuiza ngoma yake ya Smash hit  maa ya pili tatizo limemtokea akiwa anaimba wimbo wa 'Photograph' na kuomba tena ruhusa kwenda haja ndogo,
"I'm so sorry Cardiff" alisema Ed Sheeran.

0 comments:

Post a Comment