Friday 22 June 2018

Kifo cha rapa XXXTentancion chaibua historia za kusisimua za Malcom X na Maya Angelou



Mmoja wa wadau wa muziki kutoka nchini Marekani amefafanua namna ya kuweza kuwapa nafasi vijana na usaidizi juu ya maisha ya kesho.

Hatahivyo katika ufafanuzi wake amewatumia watu maarufu ambao walikuwa mstari wa mbele katika kutetea za binadamu nchini Marekani.

Watu hao ni kama vile,Maya Angelou ambaye kabla ya kuwa mwanaharakati mkubwa akiwa na miaka 20 katika usichana wake alikuwa akijihusisha na madawa ya kulevya na udada poa (Prostitution) katika jimbo la Detroit nchini Marekani.

Uenda Maya Angelou angepoteza maisha akiwa ma miaka 20 angekuwa ajaacha historia yeyote bali aibu kwa aliyewaacha.

Vilevile mwanaharakati Malcolm X,jina lisilosahaulika katika fikra za wamarekani wenye asili ya Afrika, ameonekana ku'Inspire vijana wengi huku historia ya maisha yake ya awali ikiwa na .

0 comments:

Post a Comment