Friday 22 June 2018

Twerking Yamchukiza Pantoranking.


Mkali wa muziki wa dancehall nchini Nigeria Patoranking, amesema kwamba licha ya kushiriki katika majukwaa mengi duniani hapendezwi na dansi ya aina ya Twerking hasa kwa upande wa wanawake.

Akihojiwa na kipindi cha Scoop, mapema Jana ,mwanamuziki huyo alisema kuwa kuna haja ya waafrika kuwa wabunifu katika dansi ili kuleta ushindani na sio kuiga staili zinazoondoa taswira nzima ya Uafrika.

"Kila mtu anayejihusisha na dansi anajukumu la kuwa mbunifu I'll kuondoa janga la kuiga mambo ambayo yanaondoa taswira nzima ya Dance nyumbani," amesema #pantorankin .

0 comments:

Post a Comment