Wednesday 27 June 2018

ZIFF Kufanyika julai, wasanii 'kemkem' watajwa



Tamasha la kila mwaka la Filamu, Zanzibar International Film Festival(ZIFF) na mwaka huu limetangazwa kuwa litafanyika tarehe 7-14 Julai na katika Burudani mbali na kushuhudiwa kwa filamu tofauti zenye Ubora pia litawapandisha wakali wa muziki wa Bongo Fleva jukwaani.

Wakali walioingia katika orodha ya watakao toa Burudani kwenye tamasha hilo ni pamoja na msanii Darassa CMG, Shetta, Aslay, Nandy, Ruby, kundi la The Mafik na wengine ambao wataingia kwenye orodha baada ya taratibu zilizobaki kukamilika.

0 comments:

Post a Comment