Wednesday 11 July 2018

Arsenal yasajili kinda kutoka Uruguay



Klabu ya soka ya Arsenal imetangaza kumsajili kiungo, Lucas Torreira kutoka klabu ya Sampdoria kwa ada ambayo haijawekwa wazi

Mchezaji huyo raia wa Uruguay mwenye umri wa miaka 22 ni mchezaji wa nne kusajiliwa na kocha mpya wa Arsenal, Unai Emery

Torreira amepewa jezi namba 11 na atajiunga na klabu hiyo mapema mwezi wa 8 kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao

0 comments:

Post a Comment