Kiungo Mcolombia, Juan Cuadrado
amekubali kiroho safi kumuachia jezi yake namba 7 mchezaji mpya wa
Juventus, Cristiano Ronaldo. Cuadrado ndiye alikuwa anaitumia jezi hiyo.
Lakini baada ya kusajiliwa kwa Ronaldo akitokea Real Madrid, amelazimika kumuachia kutokana na umaarufu wa mchezaki huyo.
0 comments:
Post a Comment