Aliyewahi kufanya kazi na rapa Tupac mwanamuziki mkongwe Faith evans taarifa zimeeleza kuwa mwanamama huyo kufunga ndoa ya siri na Steve J,mjini Las Vegas.
Hatahivyo inasemekana kuwa wawili hao walifunga ndoa ya kisiri katika chumba cha hotel huku waudumu wa hoteli hiyo wakithibitisha kuwaona wawili hao hivi karibuni.
Faith ambaye alishawahi kuwa na mahusiano na wanamuziki wakongwe kama Tupac pamoja na Notorious Big.
0 comments:
Post a Comment