Thursday 19 July 2018

Meghan Markle katika vita nzito na dada yake


Dada mkubwa wa mke wa mwanamfalme Meghan Markle , Samantha Markle amshutumu mdogo kwa kutojihusisha na matatizo ya kiafya aliyokuwa nayo baba yake.

Samantha ambaye amedai kuwa mdogo wake amekuwa karibuni zaidi na familia ya kifalme jambo ambalo linamfanya asahau kuwa baba yake Thomas Markle akiwa mgonjwa.

Hatahivyo kupitia ukurasa wake wa Tweeter wa Meghan aliandika kuhusu kusherekea maisha ya Hayati Nelson Mandela jambo ambalo lilimuibua tena dada yake.

“Glad you have so much time to gallivant around paying tribute to others while ignoring your own father! How cold can you be and look in the mirror?” amesema Samantha Markle

0 comments:

Post a Comment