Thursday 12 July 2018

Offset na Cardi B wapata mtoto


Kiari Cephus maarufu kama Offset na mpenzi wake Cardi B aliyekua mjamzito, wamefanikiwa kupata mtoto wa kike na kutangaza kupitia kurasa zao za Instagram alongside a nude maternity photo, mtoto kapewa jina la Kulture, tofauti na mastaa wengine wanaowapa watoto wao majina mengi.

Kwa mujibu wa mtandao wa #TMZ inasemekana Offset na Cardi B walifunga ndoa September 2017 huko Georgia, japokuwa mwezi mmoja baadae Offset alimvalisha pete Cardi B jukwaani katika show ya Cardi B jijini Philadelphia.

Cardi B ni moja ya mastaa ambao hawapendi kuweka mambo yake binafsi hadharani, “This why I name my album Invasion of Privacy,” ilikua ni Tweet ya Cardi B akiwajibu mashabiki wanaotaka kuona cheti chake cha ndoa, na hakuishia hapo “Privacy cause people will do the most to be nosey about your life.”

0 comments:

Post a Comment