Thursday 12 July 2018

Selena Gomez aanza kuwa mlevi baada ya Justine kumvalisha pete Hailey


 Kutokana na mwanamuziki kutoka nchini Marekani Justine Beiber kutangaza kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Hailey Baldwin, jambo hili limemfanya mwanadada Selena Gomez kuwa katika wakati mgumu na kupelekea mpaka kujituliza na pombe.

Kwa mujibu wa ripoti ya mtandao bombshell  imeeleza kuwa msanii Selena Gomez  siku ya jana amekuwa akionekana katika moja ya bar katika hoteli ya Four Seasons huko New York City huku akiwa amelewa huku maswali mengi yakiwa ni kuhusu pete ya Hailey. 

Mwezi mei ambapo ndipo taarifa za wawili hao zilitoka zikihusiha kuachana kwao kutopkana na kutoamianiana .

Hatahivyo utumiaji wa pombe kwa msanii huyo unaonekana kuhatarisha zaidi maisha yake kutokana na kuwa na figo moja

0 comments:

Post a Comment