Monday 2 July 2018

Urusi yaiondoa Uhispania kwa mikwaju ya penati



Timu ya taifa ya Urusi imeiondoa timu ya taifa ya Uhispania kwenye michuano hiyo kwa mikwaju ya penati 4-3

Timu hizo zilifikia hatua hiyo ya kupigiana penati baada ya kufungana goli 1-1 katika dakika 90 za mchezo na zile 30 za nyongeza

Kwa matokea haya, Urusi inafuzu kucheza robo fainali ya michuano hii na inatarajia kukutana na mshindi wa mechi kati ya Croatia na Denmark

0 comments:

Post a Comment