Friday 3 August 2018

Scorpion ya Drake bado tishio Billboard



Drake anaendelea kushika nafasi ya kwanza kwa wiki ya nne mfululizo kwenye Billboard Hot 100 kupitia track ya "In My Feelings" kutoka kwenye album ya "Scorpion"

Tekash69 anaingia kwenye Top 10 kwa mara ya kwanza tangu aanze mziki kupitia nyimbo ya "Fefe" akiwa na Nicki Minaj na Murda Beatz. Pia Tyga kaingia Top 10 na nyimbo ya "Taste" akiwa na Offset.
.

0 comments:

Post a Comment