Timu ya taifa ya Hispania
imeendeleza makali yake kwenye michuano ya ligi ya mataifa ya Ulaya kwa
kupata ushindi mnono wa magoli 6-0 ikiwa nyumani jana usiku dhidi ya
Croatia kwenye mjini Elche.
Magoli ya Hispania yalifungwa na Samuel Niguez, Marco Asensio, Rodrigo, Sergio Ramos, Isco na jingine moja likiwa ni la kujifunga wenyewe Croatia kupitia Lovre Kalinic.
Huu ni ushindi wa pili mfululizo kwa Hispania, kwani katika mechi ya kwanza ya hatua ya makundi walishinda kwa magoli 2-1 dhidi ya Uingereza.
Katika mechi zingine zilizopigwa jana, Ubeligiji ilishinda kwa magoli 3-0 ilipocheza dhidi ya Iceland, ikifunga kupitia Romelo Lukaku aliyefunga mawili na Eden Hazard aliyefunga moja kwa njia ya Penati.

0 comments:
Post a Comment