Saturday 28 October 2017

Drake awa gumzo kwa mashabiki baada ya kuzigomea tuzo za Grammy mwakani.




Msanii wa HipPop kutokaa nchini Marekani Drake awa gumzo nchini kwake hasa kwa mashabiki wake baada ya kupuuzia tuzo za Grammy na kuamua kutopeleka album yake ya ‘More Life’ katika muelelezo wa tuzo hizo.
Chanzo kinachoaminika kimethibitisha kuwa Drake hajapeleka album hio, hajapeleka nyimbo kutoka kwenye album hio kwaajili ya tuzo za Grammy mwakani, hana nia kuwania tuzo hizo mwakani.

Drake ambay ana umri wa miakaa 31, amewania tuzo za Grammy mara 35 na kushinda mara tatu tu, Best Rap Album (2011’s Take Care), Best Rap Solo Performance na Best Rap Song (“Hotline Bling”).
Drake aliwahi kulalamikia tuzo hizi akikosoa
-Kuitwa Black Rapa sababu tu amewahi kufanya rapa ila nyimbo kama HotLine Bling sio ya Rap
-Alikosoa wimbo wa ‘One Dance’ ambao anauita ni wimbo wa Pop kutowekwa kwenye tuzo,
Drake alisema anataka kuwa kama Michael Jackson na hizo nyimbo alizofanya ni nyimbo za Pop, hajawahi kupewa sifa kwa kuzifanya.

Wanaowania tuzo za 60 za Grammy Awards watatajwa Nov. 28, na tuzo kufanyika Jan. 28 katika New York, Madison Square Garden.

0 comments:

Post a Comment