Muungano wa vyama 25 vya upinzani vya Burundi CNARED, unamtaka
mpatanishi wa mzozo wa Burundi, rais wa zamani wa Tanzania Benjamin
Mkapa kuahirisha duru ya nne ya mazungumzo ya Arusha ili kuruhusu pande
zote kushiriki.
Msemaji wa aliye katika mzozo huo Pancrace Cimpye amesema kuwa haoni kama duru hii ya nne itaweza leta usuluhishi juu ya hatima yao dhidi ya selikali kuu ya Burundi.
0 comments:
Post a Comment