Friday 3 November 2017

'Johnny' ya Yemi Alade yatia fora youtube


Msanii kutoka Nigeria Yemi Alade aweka rekodi ya kuwa na video ya muziki iliyotazamwa zaidi African katika mtandao wa YouTube.

Kupitia video yake wimbo wake ‘Johnny’ ina watazamaji milioni 79 na namba hii imepiku namba ya watazamaji wa video ya P Square ‘Personally’ yenye watazamaji milioni 78.
Kwa sasa Yemi Alade ndio msanii mwenye video iliyotazamwa zaidi Youtube kupitia VEVO Account Yake, pia video ya Personally ya P Square Ipo VEVO,

0 comments:

Post a Comment