Saturday 4 November 2017

Wizkid apata shavu collabo na Queen Beyonce



Habari zimekuwa zikisambaa sana kupiti mitandao ya kijamii kuwa kupitia kwenye albamu yake mpya msanii kutoka nchi Marekani Queen Beyonce anatarajiwa kuachia albamu mpya aiyomshirikisha msanii anayefanya vizuri kutoka nchini Nigeria  Wizkid.

 Albam hiyo yenye listi ya nyimbo kumi nazo ni Saint Laurent,for you,B.E.Y,Lime light ft Jay z,Stunt FT Nick Minaj,First lady,Y.once riddim ft Wizkid,Once up on a time,Winning team,Solo ft Rihanna.

 Wizkid aendelea kung'ara sana katika anga za kimataifa baada ya kufaanya nyimbo nyingi na wasanii wakubwa kutok nchini Marekani.
Mpaka sasa  ameshafanya kazi na wasanii kama Tinnie Temper,Drake,R Kelly na Justine Sky

0 comments:

Post a Comment