Mtoto wa Dj na Rapper maaufu kutoka nchini Marekani Dj Khaled mtoto anaitwa shad Khaled ameweza kutokea kwenye jarida maarufu la Paper Magazine litolewalo katika jiji la New York
Ashad mwenye mwaka mmoja ameanza kuwa maarufu kutokana na umaarufu mkubwa aalionaao baba yake katika tasnia ya muziki jambo ambalo limemfanya kuwa katika jarida hilo.
Hatahivyo sio mara ya kwanza kwa mtoto huyo kutokea katika mbele ya majarida nchini humo kwani alishawahi kutokea katika moja ya cover ya albaamu ya nyimbo zilizotolewa na baba yake iliotoka Juni 23 mwaka huu iitwayo ‘Grateful’.
/
0 comments:
Post a Comment