Tuesday 5 December 2017

Watu wasiojulikana wavunja sanamu la Mesi Argentina



Sanamu la mchezaji huyo mshindi mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or limekutwa limeharibiwa kwa kuvunjwa huku kikisalia kiatu tu katika eneo hilo ambalo ni jiji la Buones Aires nchini Argentina na mpaka sasa watu waliolizvuna whawajatiwa nguvuni na polisi nchini humo kwa uharibifu wa sanamu hilo.
Hatahivyo si mara ya kwanza kwa sanamu la wanamichezo kushambuliwa kwa sanamu hilo lililojengwa katika eneo ambalo yapo mengine ya wanamichezo mbalimbali kama wa NBA na bingwa wa Olympic Manu Ginobili na legendari wa Hockey, Luciana, mwanzoni mwa mwaka huu lilifanyiwa marekebisho kufuatia kuaharibiwa.


0 comments:

Post a Comment