Hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa
2017/2018 ilimalizika rasmi jana usiku kwa michezo minane kupigwa barani
Ulaya na sasa jumla ya timu 16 zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 ya
michuano hiyo zimepatikana. Michuano imemalizika na kushuhudiwa timu za
Napoli na Borussia Dortmund ambazo imezoeleka kuonekana zikifanya vizuri
katika michuano ya UEFA Champions zikiondolewa katika hatua ya Makundi
ya michuano hiyo kitu ambacho ni kigeni sana.
0 comments:
Post a Comment