Friday 23 February 2018

Maelfu wamlilia Akwelina Akwelin Rombo


Maelfu ya watu wamehudhuria katika mazishi ya mwanafunzi aliyeuawa kwa kupigwa risasi Ijumaa ya wiki iliyopita, Akwelina Akwilini  Bafta yaliyofanyika katika kijiji cha Kitowo kata ya Marangu, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro. Picha kwa hisani ya BongoFive



0 comments:

Post a Comment