Serikali nchini imezipiga faini meli 19 za uvuvi faini ya jumla ya Sh. bilioni 19 kwa kukiuka masharti ya leseni zao. Wataka ilipwe ndani ya siku 14
Meli hizo zimeshiriki vitendo vya uvuvi haramu na uchafuzi wa mazingira katika ukanda wa Uchumi wa Bahari Kuu
Serikali pia imeiagiza Mamlaka ya Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) kuijulisha Kamisheni ya kusimamia samaki aina ya Jodari Bahari ya Hindi (IOTC) juu ya hatua zilizochukuliwa na Serikali ya Tanzania kuhusu meli hizo
Aidha, Serikali imeongeza kuwa haiko tayari tena kufanya kazi na watu wanaovunja sheria za nchi na kwamba operesheni ya kuzisaka meli hizo itaendelea na zitaendelea kukamatwa kila siku
0 comments:
Post a Comment