Watu takribani 17 wamefariki hiyo in baada tu ya mlima wa takataka kuanguka katika wilaya maskini ya mji mkuu wa Msumbiji, Maputo, huku wengine wakiachwa bila makazi huduma za dharura zimethibitish
Mvua kubwa ilionyesha inafikiriwa kua ndio imesababisha taka kuanguka chini ya ya makazi ya watu ambao walikuwa wamelala wakati wa tukio Jumapili usiku.
. .
Huduma ya dharura ya Msumbiji imeonya kuwa kuna waathirika zaidi, wamefunikwa chini ya rundo kubwa la taka ambayo liko katika wilaya ya Hulene ya mji mkuu.
0 comments:
Post a Comment