Klabu ya West Ham United
imekamilisha usajili wa mlinzi mkongwe wa kimataifa kutoka Ufaransa
Patrice Evra, kwa mkataba mfupi utakaomalizika mwishoni mwa msimu huu.
Evra ambaye amejiunga na West Ham kama mchezaji huru huenda akajumuishwa katika kikosi kitakachocheza jumamosi ijayo dhidi ya Watford, kujiunga na klabu hiyo kumefuta uvumi kuwa huenda angejiunga na Everton ama kurejea katika klabu yake ya zamani ya Manchester United.

0 comments:
Post a Comment