Wednesday 14 February 2018

Rais Magufuli na Mkewe washiriki misa ya Majivu



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli pamoja na Mkewe, Mama Janeth Magufuli wameshiriki misa takatifu ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph. Misa hiyo ambayo  imeongozwa na Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment