Monday 26 February 2018

Rais Xi Jinping wa China kupendekeza mawazo mapya kwenye katiba


Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China imependekeza kuandika Mawazo ya Xi Jinping kuhusu Ujamaa wenye Umaalum wa China katika Zama Mpya kujumuishwa kwenye katiba ya nchi hiyo.
Kamati hiyo pia imepedekeza Mtazamo wa Kisayansi kwa Maendeleo pia ujumuishwe kwenye katiba ya nchi. Mapendekezo hayo yamewekwa wazi kwa umma hii leo

0 comments:

Post a Comment