Daniel Ricciardo amevunja rekodi
ya majaribio ya Reb Bull 2018 formula 1 katika majaribio yake ya mwanzo
kutumia gari mpya ya red bull RB 14. Ricciardo ametumia mwendo wa
mzunguko wa kilomita 100 sawa na maili 62.
Ricciardo amesema gari hiyo ni nzuri na anaamini linauwezo wa kupita
katika mazingira yoyote hata mabaya hiyo ni alama ya mwanzo kabisa ya
ubora wa gari.
0 comments:
Post a Comment