Liverpool inajiandaa kufanya
jaribio la pili kumsajili kiungo wa kati wa Monaco mwenye umri wa miaka
22 Thomas Lemar wa Ufaransa baada ya kukataa kandarasi mpya katika klabu
hiyo ya ligi ya daraja la kwanza.
Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola hatoanzisha tena harakati za kutaka kumsajili winga wa Leicester raia wa Algeria mwenye umri wa miaka 26 Riyad Mahrez mwishoni mwa msimu huu.
Mkufunzi wa zamani wa Barcelona Luis Enrique ambaye anahusishwa na kuchukua mahala pake Antonio Conte wa Chelsea anajiandaa kuelekea nchini Uingereza.

0 comments:
Post a Comment