Umoja wa Mataifa umesema umewarudisha nyumbani walinda amani 46 kutoka Ghana waliotuhumiwa kufanya unyanyasaji wa kingono wakati wa shughuli zao nchini Sudan Kusini
Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kulikuwa na taarifa za walinda amani wa Ghana kutuhumiwa kununua Wanawake kwa ajili ya kufanya ngono
Amesema Umoja wa Mataifa hautafumbia macho tabia kama hizo nchini Sudan na kwingineko
0 comments:
Post a Comment