Tuesday 6 March 2018

Filamu ya Creed toleo la pili kutoka mwaka huu


 CREED 2 ndio muvi inayosubiriwa sana kwani inamuonyesha bondia Adonis Creed [Michael B. Jordan] akifundishwa na Sylvester Stallon ili kupigana na mtoto wa Ivan Drago kutoka Urusi aliyemuuwa baba yake Creed ‘Apollo Creed’ kwenye filamu ya Rocky IV.
Filamu hiyoipo chini ya “Philadelphia” na tayari Dolph Lundgren amekubali kuigiza kama Ivan Drago baada ya kufurahishwa na muendelezo wa stori hii.
Hakuna tarehe ya kutoka kwa Creed 2 ila tutamuona Dolph Lundgren kwenye filamu kubwa kama Black Water and Aquaman

0 comments:

Post a Comment