Tuesday 6 March 2018

UDOM yamchagua Prof Mubofu kama Makamu mkuu wa chuo



Mkuu wa Chuo Kikuu UDOM, Rais Mstaafu Benjamini Mkapa ametanga kumteua Prof. Mubofu kuwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho kuchukua nafasi Prof. Idris Kikula

Kabla ya uteuzi huu, Prof. Egid Beatus Mubofu alikuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango nchini(TBS) lakini pia kabla ya hapo alikuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

Uteuzi wa Profesa Mubofu utaanza rasmi tarehe 17 Machi, 2018.

0 comments:

Post a Comment