Thursday 29 March 2018

Katibu mkuu UN Guteress amchagua Jaji mstaafu Chande kufanya uchunguzi kifo cha afisa UN



Katibu Mkuu wa UN, António Guterres amemteua Othman Chande(aliyekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania) kuendelea kuchunguzi kifo cha Dag Hammarskjöld.

Dag Hammarskjöld alikuwa Katibu Mkuu wa 2 wa UN aliyefariki 1961 kwa ajali ya ndege huko Ndola, Zambia

Jaji Chande ataongoza jopo litakalochunguza uwezekano wa ndege

0 comments:

Post a Comment