Sunday 11 March 2018

Mali za Gaddafi zapotea katika mazingira yakutatanisha



Mamlaka za nchini Ubelgiji zimeripoti kupotea kwa kiasi cha zaidi Tsh. trilioni 27.7 zilizokuwa zimezuiwa kwenye benki nchini humo

Fedha hizo ambazo zilikuwa ni mali ya serikali ya Libya, zilizuiwa mwaka 2011 kama sehemu ya vikwazo dhidi ya washirika wa karibu wa Rais aliyefariki Gaddafi

Taarifa zinasema kuna viashiria vingi vinavyoonyesha Ubelgiji ilishindwa kuendana na taratibu za Umoja wa Mataifa zinaoongoza utaratibu wa uzuiaji wa fedha
Jumla ya kiasi cha fedha kilichokuwa kimezuiwa zilikuwa takribani Tsh. trilioni 45 lakini mamlaka husika zilipotaka kuzitaifisha moja kwa moja mwaka 2017, ilikuta kiasi cha zaidi Tsh. trilioni 27.7 hakipo

0 comments:

Post a Comment