Klabu ya Bayern Munich imefuta
ndoto za Real Madrid ya kunasa saini ya mshambuliaji Robert Lewandowski
katika usajili wa majira ya kiangazi.
Kocha wa timu Bayern, Jupp Heynckes ametoa kauli hiyo wakati timu
hiyo ikijiandaa kwa mchezo war obo fainali ya ligi ya klabu bingwa ulaya
dhidi ya Sevilla.
Heynckes ametamba, Madrid haina nafasi ya kumsajili nahodha huyo wa timu ya taifa ya Poland kwakuwa ni mchezaji muhimu katika kikosi chake.
Hivi karibuni Real Madrid ilitangaza kuweka dau mezani kumsajili mchezaji huyo mwenye kiwango bora katika ligi ya Ujerumani.

0 comments:
Post a Comment