Wednesday 25 April 2018

Liverpool 'Haishikiki',Yaishushia kipigo AS Roma



Klabu ya soka ya Liverpool imeigaragaza klabu ya AS Roma goli 5-2 katika uwanja wa Anfield kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya

Katika mchezo huo wa mzunguko wa kwanza katika nusu faili ya michuano hiyo, Liverpool ilipata magoli yake kupitia kwa Mohamed Salah(36', 45+1'), Sadio Mane(56') na Roberto Firmino(61',69')

Magoli ya AS Roma yamefungwa na Edin Dzeko(81') na Diego Perroti(85')

Kwa matokeo haya Liverpool inajiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele maana AS Roma ili kusonga mbele inahitaji ushindi wa goli 3-0 au zaidi katika mchezo wa pili utakaofanyika Italia

0 comments:

Post a Comment