Saturday 14 April 2018

Nick Minaj ajibu 'rumors' zinazoendelea kuhusu bifu lake na Cardi B



Kupitia interview yake na iheart radio siku ya jana, Nick amefunguka kuwa kitu cha pekee kinacho muumiza kuhusu Cardi B ni interview ya kwanza aliyofanya Cardi B baada ya nyimbo ya "Motorsport" kutoka, alijisikia kama anashambuliwa na Migos na Cardi B, na kumfanya yeye anaonekane muongo. Alikua anampa support na upendo pia lakini Cardi B hakufanya hivo.
. “The only thing with Cardi that really hurt my feelings was the first interview she did after ‘MotorSport’ came out. With ‘MotorSport’. I kinda felt ambushed. All of them [Migos & Cardi B] made me look like I lied. I fully supported her and she never showed genuine love. They all went about and played the victim!”

Katika interview ambayo walifanya Migos na Cardi B wakati wanatambulisha nyimbo ya "Motorsport", Migos walisema Nick Minaj alifuta verse yake na kuandika upya baada ya kusikia verse ya Cardi B katika wimbo huo.

0 comments:

Post a Comment