Wednesday 4 April 2018

Real Madrid yainyuka Juventus 3-0-VIDEO



 Klabu ya soka ya Real Madrid ya Uhispania imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya klabu ya Juventus ya Italia katika mashindano ya timu klabu bingwa barani Ulaya.
 
Mchezo huo uliofanyia katika uwanja wa nyumbani wa Juventus(Allianz Stadium), magoli ya Madrid yamefungwa na Cristiano Ronaldo (3' na 64') na Marcelo(72')

  • Wakati huo huo Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani imepata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya klabu ya Sevilla ya Uhispania

    Sevilla wakiwa nyumbani(Estadio R. Sanchez Pizjuan) walifungwa magoli hayo na Thiago Alcantara(68') na Jesus Navas aliyejifunga(37'). Goli lao Sevilla lilifungwa na Pablo Sarabia(31')

    Mechi hizi zote ni mzunguko wa kwanza(first leg) na watarudiana tena Aprili 11, 2018

0 comments:

Post a Comment