Tuesday 17 April 2018

The Weeknd kachukua mali ya Zayn




Bella Hadid na The Weeknd walionekana pamoja katika tamasha la Coachella wakipeana mabusu na kushikana katika maeneo tofauti. Inasemekana wawili hao kwa sasa ni wapenzi.
.
The Weeknd amekuwa ni mtu wa kuchukua wapenzi wa waimbaji wenzake wa pop, baada ya kumchukua Selena kwa Bieber sasa ni zamu ya Zayn. Bella Hadid ni mwezi mmoja tu umepita tangu aachane na Zayn Malik. .

0 comments:

Post a Comment