Monday 7 May 2018

Mashtaka ya unyanyasaji yaliyokuwa yanamkabili Trey Song yafutwa



Msanii kutoka nchini Marekani Trey song  amefutiwa kesi iliyokuwa inamkabili juu ya kumfanyia uonevu mwanamke mmoja ajulikanae kama Andrea Buera .

Kukosekana kwa ushaidi wa kutosha kumempelekea mwanasheria mkuu wa Los Angelo kufuta kesi ya Mwanamke. 

Mastaa mbalimbali walitokea kuwa upande wa Trey song na kudai kuwa watu wengi hudai kuonewa ili wanapofungua kesi wahakikishe wanapata pesa.

0 comments:

Post a Comment